VIKUNDI VYA SANAA YA UIGIZAJI KUJENGEWA UWEZO-MUSOMA

Sunday, August 18, 2013



Pichani-kulia (picha ya mkono wa kushoto mwenye) t-shirt ni M/Kiti wa kikundi cha Nyota Sanaa Group ndugu Majura Majura akicheza mchezo wa kuigiza na timu ya MINIBUZZ-Toa hoja!. Kwenye soko la Nyakato-Musoma. Katika ziara yao mjini Musoma. Kikundi hiki ni baadhi ya vikundi vya maendeleo ya vijana vinavyijishughulisha na sanaa ya uigizaji walivyovitembelea na kuigiza nao kwa kuwajengea uwezo. TYPS-ASSOCIATION (ASASI YA MAENDELEO YA VIJANA) inajumla ya vukundi 31 vya maendeleo ya vijana
Share this article :

1 comment:

Followers

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. TZ Youth Potentials - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Inspired by Sportapolis Shape5.com
Proudly powered by Blogger