TWAWEZA KUONDOA UKATILI WA AINA ZOTE DHIDI YA WANAWAKE

Monday, August 19, 2013


Pichani ni wanaharakati wa haki za binadamu mkoani Mara. Kushoto wameshikilia mabango ya kupinga ukatili wa kijinsia/ nyumbani na kulia ni wananchi wa kijiji cha Bisumwa, kilichopo Kata ya Bisumwa, wilaya ya Butiama mkoani Mara wakiangalia sinema ya ukatili kijinsia/ nyumbani. Tukio hili lilifanyika jumapili ya tarehe 28/07/2013 kijijini hapo. Huu ni mdaharo wa wazi uliendeshwa chini ya Kampeni ya tunaweza yenye ujumbe “ Jamii kutoona ukatili wa kijinsia ni sehemu ya maisha”
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Followers

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. TZ Youth Potentials - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Inspired by Sportapolis Shape5.com
Proudly powered by Blogger