Friday, March 31, 2017

MAFUNZO YA UJASILIAMALI YANAYOTOLEWA NA TANZANIA YOUTH POTENTIALS ASSOCIATION

HAYA NI MAFUNZO YALIYOTOLEWA MKOA WA PWANI WILAYA YA MKULANGA
 HAWA NI WAJASILIAMALI WA WILAYA YA MKULANGA WAKIPATA MAFUNZO YA UJASILIAMALI
LENGO LA MAFUNZO HAYA NI KUISAIDIA JAMII IWEZE KUJIKOMBOA KIUCHUMI
MAFUNZO HAYA YALIFANYIKA TAREHE 29/12/2016 KATIKA WILAYA YA MKULANGA
 HAYA NI MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WA KUJIAJIRI VIJANA YALIYOTOLEWA MKOA WA DAR ES SALAAM, MANISPAA YA ILALA, KATA YA 
GONGO LA MBOTO.
 MAFUNZO HAYA YA UJASILIAMALI YALIFANYIKA TAREHE 3/11/2016
VIJANA MNATAKIWA MTUMIE FURSA HII MUWEZE KUNUFAIKA

 HIZI NI BIDHAA AMBAZO TUNAWAFUNDISHA WAJASILIAMALI UTENGENEZAJI WA SABUNI,UTENGENEZAJI WA SWETA,NA N.K.  TAASISI YETU INA WAKUFUNZI BORA AMBAO WANATOA MAFUNZO YENYE VIWANGO VIZURI
TAASISI YETU INATOA MAFUNZO YA KILIMO KWA WAJASILIAMALI  
 TANZANIA YOUTH POTENTIALS ASSOCIATION INAPATIKANA MUSOMA AMBAPO NI MAKAO MAKUU NA TAWI LAKE LIPO DAR ES SALAAM, MANISPAA YA ILALA KATA YA GONGO LA MBOTO KARIBUNI VIJANA NA AKINA MAMA MPATE MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WA KUJIAJIRI 
MAWASILIANO:
0714-845940/0758 679661
TAASISI YETU IMEKUWA IKITOA MSAADA KWA VIKUNDI MBALIMBALI IKIWEMO VITENDEA KAZI VYA UJASILIAMALI KAMA VILE MALI GHAFI ZA UTENGENEZAJI WA SABUNI, ZANA ZA KILIMO, MIKOA ILIYONUFAIKA NI MKOA WA PWANI, WILAYA YA MKULANGA ,MKOA WA MARA WILAYA YA TARIME NA SERENGETI. HIZI NI WILAYA AMBAZO ZIMENUFAIKA NA MIRADI YETU 

 HAYA NI MAFUNZO YA UJASILIAMALI YALIYOFANYIKA KATIKA MKOA WA MARA WILAYA YA MUSOMA VIJIJINI YALIFANYIKA MWEZI WA 8 MWAKA 2016 LENGO LILIKUWA KUISAIDIA JAMII IONDOKANE NA UMASIKINI
TUNATOA MAFUNZO YA UTENGENEZAJI WA MIZINGA YA UDONGO AMBAYO NI BORA KWA UFUGAJI WA NYUKI 
 TANZANIA YOUTH POTENTIALS ASSOCIATION TUMEKUWA TUKISHIRIKIANA NA TAASISI MBALIMBALI KUFANYA KAZI ZA KIJAMII KAMA VILE JUHUDI FOUNDATION,MWAMBAO ORGANIZATION, INTERNATIONAL EDUCATORS TRUST FUND TANZANIA,NA TUWAFIKIE TANZANIA. TUNAZIKARIBISHA TAASISI MBALIMBALI TUWEZE KUFANYA KAZI ZA KIJAMII  
UANDAAJI WA BWAWA LA SAMAKI
BWAWA LA SAMAKI AMBALO LIMESHAKAMILIKA
 HAYA NI MABWAWA AMBAYO YAMEKOSA MAJI TUNAWAKARIBISHA WAJASILIAMALI MUWEZE KUJIFUNZA UFUGAJI WA SAMAKI NA ATHARI ZAKE

TYP INATOA NAFASI ZA KUJITOLEA LENGO NI KUWAJENGEA UWEZO VIJANA WA KUFANYA KAZI ZA KIJAMII NA KUWA NA UWEZO MBALIMBALI WA TAALUMA ZAO
MWISHO WA MAOMBI HAYA NI TAREHE 6/5/2017 KWA MAWASILIANO
0714 845940/0758 679661






Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Followers

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. TZ Youth Potentials - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Inspired by Sportapolis Shape5.com
Proudly powered by Blogger