Saturday, July 1, 2017
TANZANIA YOUTH POTENTIAL ASSOCIATION wakitoa mafunzo ya ujasiliamali katika kata ya Chamanzi manispaa ya Temeke wakishirikiana na Maendeleo Bank. Mafunzo hayo yalifanyika tarehe 27-28 mwezi Juni 2017,Mafunzo hayo ya ujasiliamali yalikuwa na washiriki 65
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !