TYPs-ASSOCIATION KUENDESHA MAFUNZO YA UJASILIAMALI

Sunday, August 18, 2013



Pichani ni kikundi cha maendeleo ya vijana kilichopo kijiji cha Ryamisanga, Kata ya Bwiregi, Wilayani Butiama-Mara. Aliyesimama, mwenye t-shirt ya njano ni Mwl. Magta Nyangore (Mwezeshaji wa elimu ya ujasiliamali kwa program ya “Kazi Nje Nje” ya ILO). Mafunzo hayo yalitolewa kwa ushirikiano na Asasi ya TYPs-ASSOCIATION kwa mkakati wake wa kutekeleza Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Followers

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. TZ Youth Potentials - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Inspired by Sportapolis Shape5.com
Proudly powered by Blogger