HAYA NI MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WA KUJIAJIRI VIJANA YALIYOTOLEWA MKOA WA DAR ES SALAAM, MANISPAA YA ILALA, KATA YA
GONGO LA MBOTO.
MAFUNZO HAYA YA UJASILIAMALI YALIFANYIKA TAREHE 3/11/2016
HIZI NI BIDHAA AMBAZO TUNAWAFUNDISHA WAJASILIAMALI UTENGENEZAJI WA SABUNI,UTENGENEZAJI WA SWETA,NA N.K. TAASISI YETU INA WAKUFUNZI BORA AMBAO WANATOA MAFUNZO YENYE VIWANGO VIZURI
TAASISI YETU INATOA MAFUNZO YA KILIMO KWA WAJASILIAMALI
TANZANIA YOUTH POTENTIALS ASSOCIATION INAPATIKANA MUSOMA AMBAPO NI MAKAO MAKUU NA TAWI LAKE LIPO DAR ES SALAAM, MANISPAA YA ILALA KATA YA GONGO LA MBOTO KARIBUNI VIJANA NA AKINA MAMA MPATE MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WA KUJIAJIRI
MAWASILIANO:
0714-845940/0758 679661
TAASISI YETU IMEKUWA IKITOA MSAADA KWA VIKUNDI MBALIMBALI IKIWEMO VITENDEA KAZI VYA UJASILIAMALI KAMA VILE MALI GHAFI ZA UTENGENEZAJI WA SABUNI, ZANA ZA KILIMO, MIKOA ILIYONUFAIKA NI MKOA WA PWANI, WILAYA YA MKULANGA ,MKOA WA MARA WILAYA YA TARIME NA SERENGETI. HIZI NI WILAYA AMBAZO ZIMENUFAIKA NA MIRADI YETU
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj1VqpILxlJZ_tBeGRbfnbNd_8gAHpsJwmce5-AKn2oW2opPaVqGw_0grSiz6MZxFvQFwxm2sFu9Bi1xXkl-JGW4v-R_EvDWn_9S1PS0Ne4-nLiWFELn7zrJ4FPpHFbwG1yKo6v2tzt_ccm/s640/IMG_20160605_110918.jpg)
BWAWA LA SAMAKI AMBALO LIMESHAKAMILIKA
TYP INATOA NAFASI ZA KUJITOLEA LENGO NI KUWAJENGEA UWEZO VIJANA WA KUFANYA KAZI ZA KIJAMII NA KUWA NA UWEZO MBALIMBALI WA TAALUMA ZAO
MWISHO WA MAOMBI HAYA NI TAREHE 6/5/2017 KWA MAWASILIANO
0714 845940/0758 679661