Karibu Musoma Information Center kwa huduma zifuatazo:- 1) Kwa kutengenezewa design mbalimbali kama za Business card, Vipeperushi, mabango mbalimbali, kadi za Harusi za kisasa zaidi, kadi za mialiko mbalimbali, Vitambulisho vya wanafunzi wa sekondari na katika kampuni mbalimbali ( ID cards) na kadi nyinginezo zenye design ya kuvutia. 2) Kutengenezewa mabango ( Posters) mbalimbali zinazohusu biashara ya mhusika au bidhaa mbalimbali. 3) Kutengenezewa nembo ( LOGO) za kuhusiana kampuni au biashara yako. 4) Tunatengeneza tovuti ( Websites ) zenye kiwango ambacho huwezi amini kama zinatengenezwa musoma, kwa bei nafuu ambayo huwezi ipata kwingine isipo kuwa kwetu. 5) Mwisho tunatoa ushauri na elimu kuhusiana na maswala ya computer.5) Sisi ni watengenezaji wa blog zinazokaa mfumo wa website. kama hii unayoiona.

Welcome to TYPS - ASSOCIATION

Welcome to TYPS - ASSOCIATION

Welcome

A Letter from the Executive Director

Dear All,

As Executive Director it is my pressure to welcome you to TANZANIA YOUTH POTENTIALS ASSOCIATION (TYPs-ASSOCIATION)-a growing youth-led Organization with it’s headquarter in Musoma that operates through legal registration number 00NGO/00006304 under the ACT of 2002 in Tanzania. The focus of the organization is to utilize youth’s potentials for their own development, community and state development at large. It also intends to strengthen regional and international interventions towards protection and promotion of the human rights especially to children, youth and women. It works with networking with other partners/ stakeholders and beneficiaries.

The Organization has the mission of striving and inheriting youth and other community groups with various technical capacities eligible to make them be engines for socio-economic growth for individual benefits, societies and the national at large as such to see a community in which women’s and children’s rights are observed and respected by executing mobilization projects eligible to bring positive changes to community through action and participation in collaboration with community and other stakeholders to prevent Gender Based Violence (GBV).

However the organization is dedicated to develop dynamic and entrepreneurial youths who will engage and realize their full potential and that of their community, their country and the world at large and advocating The National Youth Development Policy

The Secretariat , the Board of Directors and the Annual General Meeting of TYPs-ASSOCIATION eagerly anticipate your arrival and contribution to its future, and welcome you to discover youth development experience that promotes your Personal and intellectual growth

Welcome to TYPs-ASSOCIATION,
Mr. Japheth M. Kurwa
Executive Director


HAKI YA KUISHI MATATANI KWA WANAWAKE MKOANI MARA

Sunday, February 2, 2014




Simanzi na majozi vimeendelea kuikumba jamii ya mkoani Mara baada ya kuzuka Mauaji ya kikatili ya kuchinja vichwa kwa wanawake, kunyongwa na hata kuondolewa sehemu zao za siri ikiwa ni pamoja na kutobolewa macho kuendelea kushamili na kuifanya Haki ya Kusishi kubaki kuwa kitendawili kwa wanawake mkoani Mara hususani wilaya ya Butiama na Musoma. Mauji haya tangu kuzuka yapata ni mwaka mmoja sasa (tangu 2013) na ufumbuzi wake ni sitofahamu.
Mama mmoja kwa jina Nyasatu Paulo mwenye umri wa miaka 24, mkazi wa kijiji cha Kigera Etuma, Kata ya Nyakatende, Tarafa ya Nyanja, Wilayani Butiama-Mara, alikutwa mauti shambani kwake kwa kifo cha kunyongwa shingo na kisha kifukiwa kwa udongo wa matuta kama mzoga. Marehemu alipotea siku moja kabla (tarehe 30/01/2014 Alihamisi) ya kupatikana mashambani akiwa mauti (tarehe 31/01/2014 Ijumaa). Marehemu ameacha familia ya mume na watoto 3, mdogo ( mtoto wa tatu) akiwa mwenye umri wa miezi 8.
Wanainchi wenyeji wa maeneo ambamo mauaji haya hutokea wanabaini kuwa mauji haya yanatokana na sababu kuu mbili:1. Imani za kishirikina, na ya 2. Visasi. Eidha walibainisha kuwa Haki ya Usawa kwa wanawake pia imekuwa ndoana kwa wale wanaodhubutu kuisimamia na kuidai hususani kumiliki au kurithi rasilimali mfano ardhi, ng’ombe na nyumba.
Wanainchi wameendelea kuitupia serikali lawama kuwa haijaamua kutokomeza mauaji haya ya kikatili kwa wanawake yanayoendelea mkoani Mara. “Kama wanyamapori wanakufa na Serikali inaanzisha Oparesheni Tokomeza kuzuia mauaji ya wanyamapori/Majangiri, Je binadamu si rasilimali ya Taifa, mpaka ione haja ya kuwepo na Oparesheni ya kutokomeza mauaji haya…?, Ni ajabu serikali yetu kuliacha swala hili kwa sehemu kubwa mikononi mwa wanainchi!” Alisema Mkazi wa Kijiji cha Kigera Etuma kwa Uchungu.

SECOND TANLAP ANNUAL GENERAL MEETING




The meeting held on 28th January 2014 at LANDMARK Hotel, Dar es Salaam from 08:00. Prior to the meeting there was a flections session to all TANLAP members and other stakeholders to discuss on Access to Justice and Legal Aid in Tanzania. The message of this meeting through t-shirts was “Tetea Wanyonge Dumisha Haki”
“Tanzania Network of Legal Aid Providers (TANLAP) is an umbrella national network working in legal sector. It is a network comprising of Non-Governmental Organizations (NGOs), Community-Based Organizations (CBOs), Faith Based Organizations (FBOs) and other institutions providing legal aid in Tanzania.
Founded in 2006, TANLAP’s core aim is to work and link up with other Civil Society Organizations provide quality legal aid and advocate for access to justice among the poor and marginalized sections of society in Tanzania”. Said TANLAP Secretary Ms. Christina Kamili

Followers

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. TZ Youth Potentials - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Inspired by Sportapolis Shape5.com
Proudly powered by Blogger