Karibu Musoma Information Center kwa huduma zifuatazo:- 1) Kwa kutengenezewa design mbalimbali kama za Business card, Vipeperushi, mabango mbalimbali, kadi za Harusi za kisasa zaidi, kadi za mialiko mbalimbali, Vitambulisho vya wanafunzi wa sekondari na katika kampuni mbalimbali ( ID cards) na kadi nyinginezo zenye design ya kuvutia. 2) Kutengenezewa mabango ( Posters) mbalimbali zinazohusu biashara ya mhusika au bidhaa mbalimbali. 3) Kutengenezewa nembo ( LOGO) za kuhusiana kampuni au biashara yako. 4) Tunatengeneza tovuti ( Websites ) zenye kiwango ambacho huwezi amini kama zinatengenezwa musoma, kwa bei nafuu ambayo huwezi ipata kwingine isipo kuwa kwetu. 5) Mwisho tunatoa ushauri na elimu kuhusiana na maswala ya computer.5) Sisi ni watengenezaji wa blog zinazokaa mfumo wa website. kama hii unayoiona.

Welcome to TYPS - ASSOCIATION

Welcome to TYPS - ASSOCIATION

Welcome

A Letter from the Executive Director

Dear All,

As Executive Director it is my pressure to welcome you to TANZANIA YOUTH POTENTIALS ASSOCIATION (TYPs-ASSOCIATION)-a growing youth-led Organization with it’s headquarter in Musoma that operates through legal registration number 00NGO/00006304 under the ACT of 2002 in Tanzania. The focus of the organization is to utilize youth’s potentials for their own development, community and state development at large. It also intends to strengthen regional and international interventions towards protection and promotion of the human rights especially to children, youth and women. It works with networking with other partners/ stakeholders and beneficiaries.

The Organization has the mission of striving and inheriting youth and other community groups with various technical capacities eligible to make them be engines for socio-economic growth for individual benefits, societies and the national at large as such to see a community in which women’s and children’s rights are observed and respected by executing mobilization projects eligible to bring positive changes to community through action and participation in collaboration with community and other stakeholders to prevent Gender Based Violence (GBV).

However the organization is dedicated to develop dynamic and entrepreneurial youths who will engage and realize their full potential and that of their community, their country and the world at large and advocating The National Youth Development Policy

The Secretariat , the Board of Directors and the Annual General Meeting of TYPs-ASSOCIATION eagerly anticipate your arrival and contribution to its future, and welcome you to discover youth development experience that promotes your Personal and intellectual growth

Welcome to TYPs-ASSOCIATION,
Mr. Japheth M. Kurwa
Executive Director


SIKU 16 ZA HARAKATI ZA KUPINGA UNYANYASAJI WA KIJINSIA DUNIANI (NOVEMBA 25- DESEMBA 10 KILA MWAKA)

Sunday, December 29, 2013



Siku 16 za harakati dhidi ya ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa iliyoanzishwa na taasisi ya kimataifa ya wanawake katika uongozi “ Womens Global Leadership Institute” , iliyoanzishwa mwaka 1991 nchini Marekani kwa nia ya kuamsha Ari ya kuzuiana kupambana na ukatili dhidi ya wanawake, kwa kuzingatia haya ya kuleta usawa wa kijinsia.
Kampeni hii ilianzishwa ikiwa ni matokeo ya mauaji ya wanawake yaliyotokea 1960 Mirabele inchini Dominica, wanawake hawa wakiwa katika harakati za kupinga utawala wa kidikteta wa Rais wan chi hiyo Ndugu Raphaeli Truijilo, na kuhitimishwa tarehe 10 Desemba ambayo ni siku ya kimataifa la tamko la haki za binadamu, ikiwa ni ishara ya kuhusisha ukatili dhidi ya wanawake na haki za binadamu, kwani ukatili huu ni uvunjivu wa haki za binadamu
Kati ya tarehe 25/11/ hadi Tarehe 10/12 ya kila mwaka, kuna matukio mbalimbali ya kimataifa, ambayo ni sehemu muhimu katika kuleta ukombozi kwa jamii, hasa wanawake juu ya ukatili wa kijinsia. Baada ya matukio hayo, ni pamoja na siku ya kimataifa ya wanawake watetezi wa haki za binadamu 29/11 ya kila mwaka, Desemba 1 siku ya UKIMWI duniani, Desemba 6 kumbukumbu ya mauaji ya kikatili ya wanawake wahandisi mjini Montreal nchini Canada, tarehe 30 Desemba siku ya kidunia ya Kampeni ya Tunaweza, inayolenga kuondoa ukatili wa aina zote dhidi ya wanawake na Desemba 10 siku ya tamko la haki za binadamu kimataifa
Kwa sababu hizi siku 16 za harakati za kupinga unyanyasaji wa kijinsia duniani huazimishwa Novemba 25- Desemba 10 kila mwaka.


TANZANIA HUMAN RIGHTS DEFENDERS’S DAY



TANZANIA HUMAN RIGHTS DEFENDERS’S DAY
TANZANIA HUMAN RIGHTS DEFFENDERS COALITION has launched THE TANZANIA HUMAN RIGHTS DEFFENDERS’S DAY on 12th December, 2013 At Double View Hotel in Dar es Salaam City.  12th December each year shall be the day of human rights defender’s Day.
Mr. Onesmo Paul Olengulumwa the National Coordinator of THRD-Coalition gave the Concept of Human Rights Defenders Day and then issued awards to selected HRDs ending with the message of “A Human Right Defender is Better Alive than Dead”
Dr Helen Kij-Bisimba-LHRC, said Human Rights Defenders should be confident; boldness, courage and fearless. Assurance and confidence do not anchor us in our selves but in what we do. Key note addressed by the Specially Guest- Justice Amir Manento CHRAGG Chairperson

Followers

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. TZ Youth Potentials - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Inspired by Sportapolis Shape5.com
Proudly powered by Blogger